Gamondi awaonya kina Pacome, Chama na Aziz KI - EDUSPORTSTZ

Latest

Gamondi awaonya kina Pacome, Chama na Aziz KI

Gamondi awaonya kina Pacome, Chama na Aziz KI

Usikose kuitazama mechi ya KAGERA vs YANGA live bure kupitia simu yako download app yetu mapema itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live kabisa buree pia ndani ya app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Gamondi awaonya kina Pacome na Aziz KI

Mabingwa mara 30 ndani ya Ligi Kuu Bara Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Agosti 29 2024 itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar.

Kagera Sugar wanawakaribisha mabingwa watetezi waliotwaa taji msimu wa 2023/24 na baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 walikomba jumlajumla. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-0 Yanga.

Gamondi amesema matokeo yaliyopita wanasahau kwa kuwa ni msimu mpya na mashabiki wanahitahi pointi tatu kwenye mchezo huo.

“Matokeo ambayo yamepita hayo nimewaambia wachezaji wasahau kikubwa ni kuona kwamba kwenye mchezo wetu tunafanya vizuri na kupata pointi tatu muhimu,” Miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliopo kwenye kikosi hicho ni Aziz Ki, Pacome, Kibabage, Bakari Nondo ambaye ni nahodha.

Dickson Job beki wa Yanga msimu wa 2023/24 ni yeye alikuwa mfungaji wa bao la kwanza ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz