Yanga yamtambulisha Prince Dube
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Ni rasmi Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji Prince Dube akisaini mkataba wa miaka miwili
Dube ametua Yanga baada ya kuachana na Azam Fc aliyoitumikia kwa misimu minne
Ilikuwa ni suala la muda tu Yanga kuthibitisha usajili wa Dube ambaye tetesi za kujiunga na Yanga zilivuma punde alipoachana na Azam Fc
Ni rasmi sasa DUBE NI MWANANCHI
Post a Comment