Yanga yamtambulisha Chadrack Boka
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻 HAPA
Yanga imethibitisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya Fc Lupopo ya DR Congo
Ilikuwa ni suala la muda kwa Yangaa kumtambulisha Boka aliyetua kuchukua nafasi ya Joyce Lomalisa
Boka alikuwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha Lupopo na pia amepata nafasi ya kuitumikia timu ya Taifa ya DR Congo katika michuano ya CHAN
Unaweza kusema Yanga imetoa chuma upande wa kushoto na imeshusha chuma kwelikweli
Boka mwenye umri wa miaka 24 anasifika kwa kasi ya kupandisha mashamulizi na umahiri katika ulinzi
Anakuwa mchezaji wa tatu kutambulishwa katika dirisha hili baada ya Clatous Chama na Prince Dube
Post a Comment