Yanga yamalizana na Kennedy Musonda

Yanga yamalizana na Kennedy Musonda

SIMBA DAY na SIKU YA MWANANCHI ni hivi karibuni usikose kutazama Live matukio haya makubwa kupitia simu yako pia ligi kuu tz bara, Ngao ya Jamii navyo vinakaribia pia michuano ya EURO 2024 inaendelea usikose kutazama haya yote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama yote haya pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv zote bure pia kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download sasa kuenjoy, kudownload app yetu bonyeza HAPA

Yanga yamalizana na Kennedy Musonda

Mazungumzo kati ya Klabu ya Yanga na mshambuliaji Kennedy Musonda yamefikia hatua kubwa sana ili mchezaji aweze kuondolewa katika klabu hiyo kuelekea msimu ujao.

Makubaliano ya mwisho yatatolewa hivi karibuni baada ya kikao cha mwisho kitakachokaa wikendi hii ili mchezaji huyo aweze kupishana uhamisho wa wachezaji wapya ambao watakuja kuboresha eneo la ushambuliaji.

Ikiwa makubaliano yatakamilika basi Kennedy Musonda ataondolewa kikosi ikiwa makubaliano hayajakamilika basi ataendelea kuhudumu, ripoti ya Miguel Gamondi ni kuhitaji maboresho ya eneo la ushambuliaji kwa mchezaji wa kigeni.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post