Yanga yaendelea kutambulika Kimataifa

Yanga yaendelea kutambulika Kimataifa

LIVE: Itazame mechi ya KAIZER CHIEF vs YANGA michuano ya Toyota cup

Ni kesho kutwa saa 10:00 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Kwa mujibu wa Shirikisho la kukusanya takwimu na kutunza Historia za mpira wa miguu Duniani (IFFHS), Yanga imetajwa kushika nafasi ya nne miongoni mwa klabu zilizofanya vizuri katika msimu wa 2023/24

Takwimu za IFFHS zinazingatia mashindano yote ambayo timu imeshiriki katika msimu uliopita. Hizi ni tofauti na zile zinazotolewa na CAF ambazo zinazingatia ushiriki wa klabu katika mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho hilo katika kipindi cha miaka 5

Msimu uliopita Yanga ilitwaa taji la Ligi Kuu, kombe la Shirikisho la CRDB na pia kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post