Yanga yabadili gia kwa Sowah
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kuna uwezekano mkubwa Yanga ikamsajili mshambuliaji Jean Baleke na kuachana na mpango wa kumsajili Jonathan Sowah
Baleke yuko nchini tangu wiki iliyopita ambapo taarifa za uhakika ni kuwa Yanga imefanya mazungumzo nae na kukubaliana masuala binafsi
Hata hivyo bado mchezaji huyo ni mali ya TP Mazembe hivyo mabosi wanapambana kumalizana na Mazembe
Sowah alikuwa katika nafasi nzuri ya kutua Yanga lakini ni wazi kile kilichotokea kwa Hafiz Konkoni na Augustine Okrah kimewapa hofu viongozi wa Yanga juu ya kusajili mchezaji mwingine kutoka Ghana
Baleke aliitumikia Simba kwa mmoja kabla ya kuelekea Libya alikotolewa kwa mkopo na klabu yake ya TP Mazembe
Post a Comment