Yanga yaalikwa Mpumalanga Premier International Cup
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Wakati yuko Afrika Kusini kuhudhuria uzinduzi wa Toyota Cup, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alipokea mwaliko wa mashindano mengine yatafanyika Afrika Kusini kuanzia Julai 20-27
Michuano hiyo inaitwa Mpumalanga Premier's International Cup ambayo itashirikisha timu nne
Pamoja na Yanga, timu nyingine iliyoalikwa ni Augusburg inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani 'Bundesliga'
TS Galaxy na Mbabane Swallows ndio timu wenyeji wa michuano hiyo maalum ya pre-season
Ikumbukwe Yanga itakuwa Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs
Michuano hii inaweza kuwa sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo huo
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema watatoa taarifa rasmi kuhusu michuano hiyo pamoja na ratiba yao kamili ya pre-season ambapo timu imeanza kujifua Avic Town
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment