Yanga vs TS Galaxy kuoneshwa Live
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs TS GALAXY FC michuano ya Mpumalanga cup Live hapa bure
Ni kesho saa 10: 0 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Klabu ya TS Galaxy ya ligi kuu ya Afrika Kusini imekubali ombi la Klabu ya Young Africans ambao waliomba mchezo baina yao uoneshwe kwenye TV
Awali klabu hiyo haikutaka Mchezo huo uoneshwe live kwenye TV. Sasa ni rasmi utaoneshwa kupitia tv mbali mbali ikiwemo app yetu kesho Jumanne, Julai 24, 2024 saa 10:00 jioni.
Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa Yanga kwenye kampeni yake ya pre-season msimu huu ambapo wamekita kambi nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa soka 2024/25.
Post a Comment