Yanga tayari iko Bloemfontein
Ni kesho saa 10:00 jioni YANGA vs KAIZER CHIEF usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kikosi cha Yanga kiliwasili mji wa Bloemfontein jana jioni tayari kwa mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Toyota
Yanga iliweka kambi Mpumalanga ambako ilishiriki michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup ambayo pia ilizishirikisha klabu za Augsburg na TS Galaxy
Baadae kikosi kikarejea Johanesburg ambako waliweka kambi ya muda mfupi kabla ya kikosi kuelekea Bloemfontein
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment