Yanga kukipiga na timu ya Bundesliga

Yanga kukipiga na timu ya Bundesliga


Ni Jumamosi ijayo Yanga vs Kaizer chief, Yanga vs Augsburg mashindano maalumu nchini africa Kusini usikose kuzitazama mechi hizi live bure kwenye simu yako download app yetu mapema ili usipitwe na mechi hizi pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za azam tv na muvi zilizo tafsiriwa bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA


 Kabla ya kuikabili Kaizer Chiefs katika mchezo wa Toyota Cup utakaopigwa Julai 28, Wananchi watakuwa Afrika Kusini mapema kushiriki michuano mingine waliyoalikwa, Mpumalanga Premier International Cup

Kulingana na ratiba ya michuano hiyo ambayo itarushwa mbashara na kituo cha televisheni cha SABC 1, Julai 20 Yanga itachuana na Augusburg ya ligi kuu ya Ujerumani wakati Ts Galaxy wakichuana na Mbabane Swallows

Mchezo utakaofuata kwa Yanga ni Toyota Cup Julai 28 dhidi ya wenyeji wao Kaizer Chiefs

Yanga pia ina mialiko kutoka Kenya na Rwanda, pengine itacheza mechi nyingine kabla ya kuhitimisha maandalizi ya msimu mpya kwa mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi August 04

Msimu huu Yanga itakuwa na pre-season bora zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote katika misimu ya karibuni

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post