Yanga ina jambo lake Julai 24 Afrika Kusini
LIVE: Itazame mechi ya SIMBA vs EL-QANAH FC mechi ya kirafiki Live hapa bure
Ni leo saa 11:30 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Yanga bado iko Afrika Kusini ikiwa na ratiba ya kucheza mechi nyingine mbili kabla ya kurejea nchini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi
Jumatano Julai 24, Yanga ina jambo lake huko Afrika Kusini katika mji wa Durban, Hotel ya Blue Waters kuanzia saa 5 asubuhi
Wananchi hawajawahi kuwa na jambo dogo! Je ni surprise ya uzinduzi wa jezi?
Mwaka jana Yanga ilizindua jezi za msimu mpya Ikulu ya Malawi kisha kuwakabidhi Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake, Rais wa Malawi Dk. Lazarus McCarthy Chakwera
Siku iliyofuata Yanga ikacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Malawi
Pengine tukio kama hilo linakwenda kujiri Afrika Kusini...!
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment