Taarifa Mpya kutoka yanga jioni hii ni kuhusu Pacome
Ni kesho kutwa saa 10:00 jioni YANGA vs KAIZER CHIEF usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo ameshiriki mazoezi ya Yanga katika jiji la Johanesburg kuelekea mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa JUmapili, Julai 28 na utakuwa live bure kwenye app yetu kuitazama mechi hii download app yetu 👉🏻HAPA
Pacome alitua Afrika Kusini juzi usiku akitokea Ivory Coast ambapo nyota huyo alipewa ruhusa kwenda kushughulikia masuala ya kifamilia
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment