SIMBA DAY na SIKU YA MWANANCHI ni hivi karibuni usikose kutazama Live matukio haya makubwa kupitia simu yako pia ligi kuu tz bara, Ngao ya Jamii navyo vinakaribia pia michuano ya EURO 2024 inaendelea usikose kutazama haya yote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama yote haya pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv zote bure pia kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download sasa kuenjoy, kudownload app yetu bonyeza HAPA
Ni rasmi sasa Simba haitashiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup inayotarajiwa kuanza Julai 06 jijini Dar es salaam
Wekundu wa Msimbazi wako katika maandalizi ya pre-season ambao mwishoni mwa wiki hii kikosi huenda kikaondoka Dar es salaam kuelekea Misri
Kulingana na orodha mpya ya timu zitakazoshiriki michuano hiyo inayoshirikisha timu za Afrika Mashariki na Kati, Simba sio miongoni mwa timu zitakazoashiriki
Vigogo wengine wa Tanzania Azam Fc na Yanga, nao wameungana na Simba kuikacha michuano hiyo
Klabu za Coastal Union na Singida BS ndio timu pekee zitakazoshiriki kwa upande wa Tanzania Bara wakati JKU ikiiwakilisha Zanzibar
Post a Comment