Sakho apewa "Thank You" Ufaransa
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Aliyekuwa winga wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho amepewa "Thank You" na Klabu yake Quevilley - Rouen Métropole maarufu kama QRM inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini Ufaransa.
Aliyekuwa winga wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho amepewa "Thank You" na Klabu yake Quevilley - Rouen Métropole maarufu kama QRM inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini Ufaransa. Winga huyu machachari amecheza mechi 3 tu kwenye timu hiyo akiwa hana rekodi yoyote ya goli wala assist! Unamshauri nini?
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment