Mpanzu awaacha Simba kwenye mataa
Ni kesho kutwa SIMBA DAY na SIKU YA WANANCHI usikose kutazama sherehe hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama na mechi ya kirafiki itakayo chezwa siku hiyo kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kaka wa nyota wa AS Vita, Elie Mpanzu, Kibangula Aigle amethibitisha kuwa winga huyo tayari yupo KRC Genk ya Ubelgiji na muda wowote atasaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo.
Kaka wa nyota wa AS Vita, Elie Mpanzu, Kibangula Aigle amethibitisha kuwa winga huyo tayari yupo KRC Genk ya Ubelgiji na muda wowote atasaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Akizungumza na Mchambuzi wa soka Hans Raphael @hansrafael14, Kibangula Aigle amesema Simba Sc hawakuwa ‘serious’ na mkongomani huyo hivyo ni Rasmi dili hilo limeota mbawa.
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment