Chama awaaga Wanamsimbazi
SIMBA DAY na SIKU YA MWANANCHI ni hivi karibuni usikose kutazama Live matukio haya makubwa kupitia simu yako pia ligi kuu tz bara, Ngao ya Jamii navyo vinakaribia pia michuano ya EURO 2024 inaendelea usikose kutazama haya yote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama yote haya pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv zote bure pia kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download sasa kuenjoy, kudownload app yetu bonyeza HAPA
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, kiungo mshambuliaji wa Yanga Clatous Chama amewapa THANK YOU waajiri wake wa zamani Simba
Katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii, Chama ameiweka Yanga kama klabu anayoichezea sasa akiiondoa Simba aliyoitumikia kwa misimu mitano
Tangu atambulishwe na Yanga, Chama hakuwa amebadilisha taarifa hizo katika kurasa zake na kupelekea baadhi ya mashabiki kuhoji kama ni kweli ametua Jangwani hasa ikizingatiwa utambulisho wake ulikuwa wa kushitukiza
Chama amewashukuru waajiri wake hao wa zamani (Simba) na kuwatakia kila la kheri
Post a Comment