BREAKING: Simba wamtambulisha Augustine Okejepha
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Hatimaye fundi amewasili! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kumtambulisha kiungo Augustine Okejepha raia wa Nigeria
Okejepha anatua Msimbazi akitokea klabu ya Rivers United ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa msimu uliopita
Okejepha ana umri wa miaka 20 tu lakini tayari amejizolea umaarufu na kuweka alama katika soka la Nigeria
Msimu uliopita aliibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nigeria MVP, akiifungia Rivers United bao moja na kutoa assist tatu
Ikumbukwe huyu ni kiungo mkabaji ambaye pasipo na shaka anakwenda kutatua changamoto iliyoitesa Simba kwa misimu kadhaa katika nafasi hiyo
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment