Breaking: Huyu hapa Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba mpya
LIVE: Itazame mechi ya KAIZER CHIEF vs YANGA michuano ya Toyota cup
Ni kesho kutwa saa 10:00 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda ndiye mrithi wa nafasi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba ambayo inashikiliwa na Imani Kajula
Mkataba wa Kajula unatarajiwa kumalizika mwezi ujao na Simba imemtangaza Uwayezu kuwa Mtendaji Mkuu Mpya
Francois, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa APR ya Rwanda na amewahi pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Rwanda (FERWAFA)
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment