Boka kurejea mapema kikosini

Boka kurejea mapema kikosini

Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs TS GALAXY FC michuano ya Mpumalanga cup Live hapa bure

Ni kesho saa 10: 0 jioni usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download app yetu mapema ili uweze kuitazama mechi hii kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA



 Beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka ameanza program maalum ya mazoezi ambayo itamrejesha dimbani mapema

Boka alipata majeraha ya misuli katika mchezo dhidi ya Augsburg lakini mwenyewe amewahakikishia Wananchi haikuwa changamoto kubwa na atarejea dimbani baada ya siku chache

"Sikuumia sana ni mshtuko tu ndio maana niliomba kutoka mapema ili nisizidi kuumia. Ila, kwa sasa niwatoe hofu niko salama na nimeshaanza kufanya mazoezi binafsi, hivyo mnaweza kuniona uwanjani mchezo ujao,” alisema Boka

Katika mchezo huo, Boka aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Nickson Kibabage, dakika chache alizocheza zilitosha kuwaonyesha Wananchi kuwa wampata mbadala sahihi wa Joyce Lomalisa aliyerejea Sagrada Esperance ya Angola

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post