Aziz Ki kuzungumza na Wananchi leo
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki leo saa 8 mchana atazungumza na Wananchi
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu hatma yake hasa baada ya kauli ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye alikiri kuwa nyota huyo hakuwa amesaini mkataba
Hata hivyo jana katika mahojiano mengine aliyofanya Afrika Kusini, Injinia Hersi alisema majadiliano yalikuwa katika hatua za mwisho na kuwa hatma ya Aziz Ki ingefahamika baada ya saa chache
Bila shaka kupitia mazungumzo hayo, Aziz Ki ataweka bayana kama ameongeza mkataba au la?
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment