Awesu atambulishwa Msimbazi
Ni jumamosi Yanga vs Augsburg michuano ya mpumalanga iliyoandaliwa afrika kusini usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download app yetu kutazama mechi hii live bure pia ndani ya app yetu zipo chanel za azam tv pia utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili kiungo mahiri Awesu Awesu kutoka klabu ya KMC
Awesu ametua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili
Ukizungumzia viungo bora wazawa katika kipindi cha miaka mitatu, hutakosa kutaja jina la Awesu ambaye aliitumikia KMC kwa misimu miwili akitokea Azam Fc kwa mkopo
Awesu ana uzoefu mkubwa na ligi kuu ya Tanzania Bara akiwa pia amewahi kuitumikia Kagera Sugar
Simba ilikamilisha usajili wa nyota huyo wiki kadhaa zilizopita kilichokuwa kikisubiri ni utambulisho
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment