Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kupitia ukuirasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (Tweeter) akichangia mjadala una-trend hivi sasa mtandaoni kuhusu migogoro ya klabu ya Simba, ameomba kupewa klabu hiyo kwa miezi 12 tu.
Kupitia Ukurasa wake wa X (Tweeter) Zito ameandika;
"Naiomba Timu kwa miezi 12 tu kisha niwarudishie! Rejea TCD"
Je wanaweza kumpa?
Post a Comment