Yanga imeanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kumpata kipa wa timu hiyo, Khomeiny Aboubakar.
Yanga imeanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kumpata kipa wa timu hiyo, Khomeiny Aboubakar. Khomeiny amekuwa na msimu mzuri na kikosi hicho, anatajwa kama mbadala wa Metacha Mnata anayeondoka baada ya kuhudumu kwa miezi sita ya mkopo na Yanga inamtaka iwapo itamkosa Yona Amos wa Prisons.
Post a Comment