Achana na rekodi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu mara nyingi zaidi (mara 30) walioiandika hivi karibuni, Klabu ya Yanga usiku wa kiamkiableo imeweka rekodi nyingine ya kutwaa Ubingwa wa (FA) mara nyingi zaidi tangu kombe hilo lirejee msimu wa 2015|16.
Young Africans SC - x4.
Simba SC - x3.
Azam FC - x2.
Mtibwa Sugar - x1.
Yanga wanashikilia rekodi ya kutwaa kombe la (FA) mara (8) tangu kuanzishwa kwake.
◉ Corners ☑️
◉ Shots on target ☑️
◉ Shots off target ☑️
◉ Chances created ☑️
◉ Possession ☑️
Mudathir, Mzize na Aziz Ki walikosa big chances ndani ya dakika 90'
Azam Yanga
_____________________________________
0 ....... Big chances missed ......... 3
1 ........... Shots on target .................. 6
3 ........... Shots off target ............. 9
Ubingwa umeenda kwa anayestahili.
120' — Azam FC 0 - 0 Yanga SC
Penati : (5 - 6)
◉ Mtasingwa
◉ Cheick Sidibe
◎ Fuentes
◎ Gibril Sillah
◉ Kipre Junior.
◉ Manyama.
◉ Feitoto.
◎ Mwaikenda.
◎ Idd Nado.
◎ Aziz Ki
◎ Joseph Guede.
◉ Pacome Zouzoua.
◉ Yao Kouassi.
◉ Mwamnyeto.
◉ Aucho.
◉ Musonda.
◎ Bacca.
◉ Mkude.
Key ????
◎ Waliokosa penati.
◉ Waliopata penati.
Post a Comment