Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi wa Klabu Yanga kwa kuandaa Mkutano Mkuu wa Wanachama.
Waziri mkuu ameyasema hayo leo Juni 9, 2024 kwenye mkutano mkuu wa wanachama wa Yanga mara baada ya kumtumia ujumbe mfupi wa maandishi Rais Hersi Said ili awasomee wanachama na mashabiki waliohudhuria mkutano huo.
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment