Wakati Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 ukiwa umetamatika siku chache zilizopita.
Kiungo wa Yanga Stephane Aziz KI raia wa Burkina Faso ameibuka kuwa mfungaji Bora akinyakua kiatu cha mfungaji Bora mbele ya Feisal Salum.
Haya hapa mabao yote 21 ya Aziz KI, na tuambie ni lipi goli lako Bora?
Post a Comment