Ofisa mtendaji mkuu wa wa bodi ya ligi kuu, Almas Kasongo kwenye SportsXtra leo amesema msimu ujao 2024/25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Ofisa mtendaji mkuu wa wa bodi ya ligi kuu, Almas Kasongo kwenye SportsXtra leo amesema msimu ujao 2024/25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Kasongo amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo nchini Tanzania.
Post a Comment