Thank You zinaendelea Msimbazi
Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA
Mpaka sasa Simba imethibitisha kuachana na wachezaji wawili aliyekuwa nahodha John Bocco na kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza
Zoezi la Thank You linaendelea ambapo leo taarifa za mchezaji mwingine zinatarajiwa kutolewa
Kuna majina ya wachezaji ambao mashabiki wanasubiri kwa hamu kusikia Thank You zao, miongoni mwao ni mshambuliaji Pa Omar Jobe
Jobe alitua Simba katika usajili wa dirisha dogo sambamba na Freddy Michael lakini unaweza kusema Jobe hajaonyesha kabisa kile ambacho mashabiki wa Simba walihitaji kukiona kutoka kwake
Huyu ni miongoni mwa wachezaji ambao pengine wamepelekea lawama nyingi kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' kuwa hakukuwa na umakini katika usajili wa mshambuliaji huyo
Hennock Inonga ni miongoni mwa wachezaji ambao Thank You yao pia inaasubiriwa. Inonga aliingia katiika mgogoro wa kimkataba na Simba mwishoni mwa msimu uliopita lakini sasa imeelezwa tayari Simba imepokea ofa na imeridhia kumruhusu aondoke
Post a Comment