Klabu ya Simba wamewasiliana na wakala wa Yanick Bangala ili kumshawishi Kiungo huyo raia wa DR Congo kujiunga na timu yao ndani ya dirisha hili kubwa la usajili.
Nyota huyo wa zamani wa vilabu vya AS Vita,DC,Far Rabat na Yanga,alisaini mkataba wa miaka miwili na Azam hivyo Simba watatakiwa kukaa mezani na timu yake ili kuvunja mkataba wa mwaka mmoja uliyobaki.
Simba wanahisi Bangala ni tiba sahihi ya eneo la namba sita kwenye timu yao.
Post a Comment