Yanga Sc imeinasa Saini ya Mshambuliaji wa Ihefu FC Manu Bola Loboto Kutoka Congo.
BOLA Ni Mshambuliaji wa kati ambaye pia amewahi kupitia timu ya taifa ya Congo na kuhudumu kwa mafanikio.
Nyota huyo wa zamani wa Lupopo ya Congo atatambulishwa muda wowote kuanzia Leo inadaiwa ndye atakaye tambuliahwa Leo kwenye mkutano Mkuu Wa yanga ambao unafanyika leo.
Post a Comment