Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania “Taifa Stars” baada ya kushinda mechi ya kufuzu Michuano ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia ugenini kwa goli 1-0, sasa watapata kiasi cha Tsh Milioni 110 kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania “Taifa Stars” baada ya kushinda mechi ya kufuzu Michuano ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia ugenini kwa goli 1-0, sasa watapata kiasi cha Tsh Milioni 110 kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais Samia aliahidi Tsh Milioni 10 kwa kila goli moja, na Tsh Milioni 100 kwa ushindi
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA XX ( WAKUBWA ) UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment