Taarifa Mpya kutoka Yanga Jioni hii
Jifunze mautundu ya kitandani angalia video za kikubwa bonyeza HAPA
Wananchi wanasubiri kwa hamu taarifa kuhusu kikosi chao na mipango kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25
Kesho Jumatatu, Julai mosi ndio siku ambayo taarifa muhimu kuhusu usajili na mikakati ya msimu mpya zitawekwa hadharani
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema pamoja na kutangaza taarifa za usajili, wataweka hadharani mikakati kuhusu pre-season taarifa za awali zikibainisha Wananchi wanatarajiwa kusafiri nje ya nchi
Lakini pia, majibu kuhusu Wiki ya Mwananchi yanaweza kupatikana hapo kesho
Zimesalia takribani wiki tano tu msimu mpya kuanza na michuano ya Ngao ya Jamii itakayopigwa kuanzia August 09 ambapo Yanga itachuana na Simba katika mchezo wa nusu fainali
Yanga inaweza kuwa busy kwelikweli katika kipindi cha pre-season kwani Wananchi wamealikwa katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kucheza mechi za kirafiki
Bila shaka Kocha Miguel Gamondi na vijana wake watakuwa na muda mzuri wa maandalizi kabla ya ufunguzi wa Ngao ya Jamii
Post a Comment