Simba yawapiga na kitu kizito Orlando Pirates
Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu kuitazama mechi hii live bure kabisa idownload sasa bonyeza 👉🏻HAPA
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria
Hata hivyo Pirates wameambulia patupu baada ya mchezaji huyo kuweka msimamo kuwa msimu ujao atacheza klabu ya Simba ya Tanzania
Taarifa za uhakika ni kuwa Simba ilikamilisha usajili wake mapema mwezi huu na kinachosubiriwa ni utambulisho wake
Imeelezwa Pirates walikuwa tayari kutoa Milioni 500 kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo bora wa kikosi cha Rivers United msimu uliopita
Okejepha anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo sambamba na wachezaji wengine waliosajiliwa na Simba tayari kwa pre-season itakayofanyika huko Misri
Post a Comment