Uongozi wa Simba upo kwenye mazungumza ya kunasa saini na beki wa Namungo na timu ya taifa ya Burundi, Derrick Mukombozi kwaajili ya kuziba pengo la Henock Inonga ambaye anatajwa kutimka ndani ya kikosi hicho.
Uongozi wa Simba upo kwenye mazungumza ya kunasa saini na beki wa Namungo na timu ya taifa ya Burundi, Derrick Mukombozi kwaajili ya kuziba pengo la Henock Inonga ambaye anatajwa kutimka ndani ya kikosi hicho. Simba wanapambana kunasa saini ya staa huyo wa Burundi ambaye ametupia mabao manne kwenye Ligi Kuu Bara iliyotamatika Mai 29 akiwa na Namungo na alisema anampango wa kuondoka msimu ukiisha.
Post a Comment