Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Ismail Mgunda yupo katika mazungumzo na Simba ili kujiunga na kikosi hicho msimu ujao.
Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Ismail Mgunda yupo katika mazungumzo na Simba ili kujiunga na kikosi hicho msimu ujao. Mgunda aliyemaliza na mabao sita ya Ligi Kuu, amefuatwa na viongozi wa Simba ili akaichezee, ikielezwa mazungumzo yanaendelea Singida ikiwa tayari kumuachia.
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA KITANDANI
Post a Comment