Simba wamalizana Rasmi na mchezaji huyu

 Simba wamalizana Rasmi na mchezaji huyu

Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu kuitazama mechi hii live bure kabisa idownload sasa bonyeza 👉🏻HAPA


Ni suala la muda Valentine Nouma (24) mlinzi wa kushoto wa timu ya taifa ya Burkina Faso atatambulishwa Simba kwa kandarasi ya mwaka baada ya kumaliza mkataba wake na FC Lupopo ya nchini CONGO-DR

Taarifa za uhakika ni kuwa Simba wapo hatua za mwisho kukamilisha usajili wake

Nouma ana uwezo mzuri wa kucheza kama mlinzi wa kushoto na hata winga 

Simba imeshinda vita ya kumnasa Nouma mbele ya FC Rabbat ya nchini Morocco ambayo ilikuwa pia ikimuwania

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post