Timu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund jana usiku Juni 1, Uwanja wa Wembley Jijini London, Uingereza.
Timu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund jana usiku Juni 1, Uwanja wa Wembley Jijini London, Uingereza. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na beki wa kulia wa Kimataifa wa Hispania, Dani Carvajal Ramos dakika ya 74 na mshambuliaji Mbrazil, Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior dakika ya 83 na hilo linakuwa taji la 15 kwao michuano hiyo.
Post a Comment