Crescentius Magori wiki hii ameenda Zambia kwa ajili ya mazungumzo na wachezaji wawili ambao ni wachezaji wa timu ya taifa ya Zambia.
Crescentius Magori wiki hii ameenda Zambia kwa ajili ya mazungumzo na wachezaji wawili ambao ni wachezaji wa timu ya taifa ya Zambia. Magori alitua Zambia jumatatu Juni 10 ili kuwatazama wachezaji hao kwenye mchezo dhidi ya Tanzania, Simba SC inasuka kikosi kurejesha ufalme.
Post a Comment