“Suala la Try Again kujiuzulu na kumpendekeza MO kuwa Mwenyekiti wa Bodi ni maoni yake binafsi nje na utaratibu wa Kikatiba, Mwenyekiti wa Bodi anachaguliwa na Wajumbe wa bodi kwa kupigiwa kura hivyo tutamchagua Mwenyekiti wa Bodi kwa mujibu wa Katiba”
- Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kupitia ITV.
Post a Comment