Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA.
Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA. Konkoni anadai bado Klabu ya Yanga haijamaliza kumlipa madai yake tangu aachane na Miamba hiyo ya Jangwani.
Post a Comment