Kesho ni YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose
Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu itakayoonesha mechi hii live bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam tv bure download sasa bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA
Vijana wa Safari Champions kesho watatimiza ndoto kwa kucheza mechi dhidi ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga
Safari Champions ni kikosi kilichoundwa na Safari Lager baada ya mashindano ya vijana yaliyofanyika nchi nzima
Mechi itakayopigwa saa 1 usiku itahitimisha siku ya Tamasha la burudani lililoandaliwa na safari Lager kwa kushirikiana na Yanga
Mwanamuziki mashuhuri kutoka DR Congo Koffi Olomide atatumbuiza huku Harmonize akitarajiwa kuwa miongoni mwa watumbuizaji katika Tamasha hilo
Wakati huu ambao ligi zimesimama, burudani ya soka imekuwa adimu, hii ni nafasi kwa wapenda burudani kujisogeza dimba la Mkapa kupata kile walichokosa kwa wiki kadhaa tangu ligi iliposimama
Post a Comment