Kiungo wa klabu ya Yanga Jonas Mkude amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga sc.
Moja ya sajili ambayo ilitikisa nchi ni hii ya Jonas mkude Nungunungu baadhi ya mashabiki wa Yanga waliisifia hii sajili lakini wengine nikama walikua hawana Imani nae.
Wengi walizani mkude huenda akawa msaliti kwamba atatoa mbinu za vita na kuzirudisha upande wapili imekua tofauti mwamba kafanya kazi iliyo tukuka.
Kama kuwa mnaizingatia shangilia yake mkude Huwa anainua mikono miwili juu na uipishanisha ishara ya "X" inaama kwamba amefunga pingu za maisha hawezi kuwasaliti Wananchii.
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA XX ( WAKUBWA ) UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment