Mwamuzi kutoka Mkoani Manyara, Ahmed Arajiga ndiye atakayechezesha mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kati ya Azam FC dhidi ya Yanga kesho Jumapili Juni 2, 2024.
Arajiga atasaidiwa na Frank Komba, Mohamed Mkono na Amina Kyando katika mchezo huo ambao umeonekana kuvuta hisia za wengi.
Je kwa Utabiri wako unadhani nani atafanikiwa kunyakua Ubingwa? Tupe maoni yako
Post a Comment