Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya Ngao ya Jamii 2024/25
Michuano hiyo itakayoshirikisha timu nne inatarajiwa kuanza August 08 hadi August 11 2024
Kama kanuni zitafuata msimu uliopita, bingwa wa ligi Kuu atachuana na mshindi wa tatu wakati aliyeshika nafasi ya pili atachuana na wa nne
Yaani Yanga itachuana na Simba huku Azam Fc ikichuana na Coastal Union
Post a Comment