Klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wake Eng. Hersi Said, ametangaza kuongeza mkataba na Kocha Angel Miguel Gamond baada ya kuipa klabu hiyo mafanikio katika msimu uliopita.
Klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wake Eng. Hersi Said, ametangaza kuongeza mkataba na Kocha Angel Miguel Gamond baada ya kuipa klabu hiyo mafanikio katika msimu uliopita. Gamondi ameiongoza Yanga kushinda ubingwa wa Ligi Kuu, ubingwa wa CRDB Bank Federation Cup lakini pia ameipeleka hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Post a Comment