Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amesema ndoto yake ni kucheza soka la kulipwa katika Klabu ya Al Ahly ya Misri.
Fei amefunguka kuwa anavutiwa na Al Ahly kutokana na historia yake ya kuchukua makombe mbalimbali ndani na nje ya Misri.
Unalipi la kumshauri Feisal?
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA ILI UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment