Breaking: Simba wampa mkono wa kwaheri Luis Miquissone

 Breaking: Simba wampa mkono wa kwaheri Luis Miquissone

Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA

Klabu ya Simba imetangaza kuachana na winga Luis Miquissone baada ya mkataba wake kumalizika

Miquissone alitua Simba katika dirisha la usajili msimu uliopita akitoka klabu ya Al Ahly

Alisaini mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa na kipengele cha kuongeza mwaka mwingine

Hata hivyo Simba imeamua kutotumia kipendele hicho hivyo rasmi kumpa mkono wa kwaheri

Miquissone alijijengea heshima kubwa katika klabu ya Simba kabla ya kutimkia Al Ahly

Hata hivyo awamu ya pili ya urejeo wake Msimbazi haikuwa na mafanikio

Kila la kheri Miquissone...!

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post