Klabu ya Simba imempa Thank You mshambuliaji Shabani Iddi Chilunda baada ya mkataba wake kumalizika
Chilunda alijiunga na Simba katika dirisha kubwa la usajili msimu uliopita akisaini mkataba wa mwaka mmoja
Katika dirisha dogo la usajili, Simba ilimtoa kwa mkopo Chilunda kwenda klabu ya KMC
Chilunda amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja na hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25
Kila la kheri Chilunda...!
Post a Comment