Mjumbe wa Bodi ya Simba Sc, Asha Baraka akiwa na Jean Baleke ndani ya uwanja wa Azam Complex.
Mjumbe wa Bodi ya Simba Sc, Asha Baraka akiwa na Jean Baleke ndani ya uwanja wa Azam Complex. Baleke amehudhuria mechi ya Simba Queens hii leo walipoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate Princess.
BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA ILI UJIFUNZE MAUTUNDU
Post a Comment