Baada ya moja ya mashabiki wa Yanga SC kukomenti kwenye post ya Aziz Ki akimuomba mchezaji huyo kutotumia neno 'Thank You' kwenye post zake kwa sasa kwa sababu anawaweka roho juu wakidhani anaaga kwaajili ya kuondoka Yanga.
Kiungo mshambuliaji huyo raia wa Burkina Faso amemjibu Shabiki huyo akisema "I thank you because it's the least thing I can do to be grateful to you who help me every day it's nothing like a good by I'm here don't worry."
Kwa tafsiri ya Kiswahili kwa alichojibu Aziz Ki ni; "Nakushukuru kwa sababu wewe ndiye ambaye unanisaidia kila siku, lakini sio kila kheri nipo hapa usijali."
Post a Comment